Tatizo la kutumiwa Notification za Matangazo

Tatizo Kubwa Web Application
2020-05-04 08:51 EAT · 3 hours, 8 minutes

Update

Monitoring

Bado tunaendelea kuhakikisha tunasuluhisha tatizo hili, tunaomba radhi kwa usumbufu unaondelea kujitokeza. Kwa sasa tumezima notification zote kwenye app zetu hivyo Hakuna ujumbe wowote utakao endelea kufika kupitia app zetu.

November 4, 2021 · 18:24 EAT
Issue

Tanzania Tech tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza leo kwa baadhi ya watumiaji kupokea meseji za matangazo ambazo zilitumwa bila sisi kujua. Tatizo hili limetokana na akaunti yetu ya notification kupitia tovuti ya onesignal.com kudukuliwa (Hacked). Kwa sasa tayari tume rudisha akaunti yetu na tume wasiliana na onesignal ili kuendelea kuchunguza zaidi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza.

November 4, 2021 · 18:24 EAT

← Back