Marekebisho ya Tovuti ya Tanzania Tech from 2020-09-11 08:02 EAT to 2020-09-12 09:02 EAT

Marekebisho Yanatarajiwa Web Application
2020-09-11 08:02 EAT · 1 day, 1 hour

Update

Update

Bado tunaendelea na zoezi la kuamisha server zetu kikamilifu, wataalamu wetu bado wanapambana kuhakikisha huduma zote zinarejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu wote unaojitokeza.

Kwa sasa kama unataka kujua zaidi kuhusu simu basi uaweza kutembelea tovuti yetu ya priceintanzania.com.

November 4, 2021 · 18:24 EAT
Update

Tutarudi hewani baada ya muda mfupi, Wataalamu wetu wanamalizia hatua za mwisho za kuhamisha server na tutarudi hewani baada ya muda mfupi.

November 4, 2021 · 18:24 EAT
Monitoring

HATUTAKUWA HEWANI KWA SIKU YA LEO KUTOKANA NA KUFANYA MATENGENEZO UPANDE WA SERVER ZETU, TUTA RUDI HEWANI SIKU YA KESHO ASUBUHI.

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA.

November 4, 2021 · 18:24 EAT
Essential

Tunafanya marekebisho makubwa kwenye tovuti yetu kwa upande wa Server, kwa sasa tovuti yetu haipatikana kutokana na kuamishia tovuti yetu kwenye mfumo wa VPS. Kwa sasa bado tunaendelea na zoezi hili na tutarudi muda sio mrefu.

November 4, 2021 · 18:24 EAT

← Back