Marekebisho ya App from 2021-06-10 11:17 EAT to 2022-07-22 09:29 EAT

Marekebisho Yanatarajiwa Application
2021-06-10 11:17 EAT · 1 year, 1 month, 1 week, 4 days, 22 hours, 12 minutes

Update

Resolved

App Yetu kwa sasa inapatikana kupitia Play Store

July 22, 2022 · 09:29 EAT
Scheduled

Tunategemea kufanya marekebisho kwenye app yetu ya Tanzania tech kwa muda mrefu kuanzia tarehe 10 mwezi Juni. Kuanzia muda huo app yetu haitakuwa hewani kwa watu wote. App haitopatikana hewani kwa muda wote hadi hapo itakapo Tangazwa tena kwenye tovuti ya Tanzania tech au kupitia ukurasa huu.

Kuanzia siku ya leo tarehe 5/6/2021, kutakuwa na matatizo madogo madogo kwenye app hivyo unashauriwa kutumia website kupata habari.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza. Kama unataka kupata habari za Tanzania tech, tembelea tovuti ya Tanzania tech https://www.tanzaniatech.one habari zote mpya na zilizokuwa zinapatikana kwenye App zitaendelea kupatikana kwenye website kama kawaida.

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBU UNAOJITOKEZA.

Bofya Hapa - https://www.tanzaniatech.one

November 4, 2021 · 18:25 EAT

← Back