Marekebisho ya Tovuti ya Tanzania Tech from 2020-02-21 23:00 EAT to 2020-02-21 23:40 EAT

Marekebisho Yanatarajiwa Web
2020-02-21 23:00 EAT · 40 minutes

Update

Scheduled

Tutakuwa na marekebisho kwenye tovuti yetu kwa muda mfupi, kutokana na marekebisho haya tunategemea tovuti ya Tanzania Tech kutokwepo hewani kwa muda mfupi wakati marekebisho yakiendelea. Tunategemea kumaliza marekebisho hayo mapema hivyi tutarudi hewani haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbu wowote utakao jitokeza.

November 4, 2021 · 18:24 EAT

← Back